Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya
maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea
akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)

akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akikagua ujenzi wa Jego la Halmashauri ya Wilaya
ya Peramiho akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2015.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Maposele
wilayani Peramiho baada ya kukagua ujenzi wa jingo la Ofisi ya
Mkurugenzi wa wilaya hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari
4, 2016. (PIcha na Ofisi a Waziri Mkuu
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungungua tawi la Benki ya Posta la Songea
akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2016. Kulia ni Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Uratibu, Ajira na Walemavu,
Jenista Mhagama .
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akitazama kadi ya akaunti yake ya Benki ya Posta
Tanzania aliyokabidhiwa baada ya kuifungua alipokuwa akifungua tawi la
Benki hiyo la Songea Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassi Majaliwa akiagana na watuMishi wa Benki ya Posta, Tawi la
Songea baada ya kufungua tawi lao Januari 4, 2016. Alikuwa katika ziara
ya mkoa wa Rukwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akivalishwa vazi la jadi la Wangoni baada ya
kuwasili kwenye kwenye kijiji cha Maposele na kukagua ujenzi wa Ofisi
ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akikabidhiwa ngao silaha na mzee Daniel Gama
baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Maposele na kukagua ujenzi wa Ofisi
ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akikabidhiwa silaha za jadi na mzee Daniel Gama
baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Maposele na kukagua ujenzi wa Ofisi
ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya mila ya kabila la Wangoni
wakati alipowasili kwenye kijiji cha Maposele na kukagua ujenzi wa
Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment