SERIKALI imepata nyaraka zinazohusu mpaka wa Ziwa
Nyasa kati ya Tanzania na Malawi.
Kupatikana kwa nyaraka hizo kutasaidia kumaliza
utata wa mpaka huo kwani ulizua mvutano mkubwa kati ya nchi hizo.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu Wizara
ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Selassie Mayunga wakati akikabidhi
ofisi kwa Katibu Mkuu, Dk.Yamungu Kayandabira.
SHARE
No comments:
Post a Comment