TRA

TRA

Tuesday, January 12, 2016

Wizara ya Afya yaboresha Kituo cha Kuratibu Matukio ya Sumu nchini

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !




1 (14)
Mratibu wa Kituo cha kuratibu matukio ya sumu nchini toka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw. Yohana Goshashy akiwaeleza waandishi wa habari  jana Jijini Dar es salaam kuhusu umuhimu wa kituo hicho hapa nchini ikiwemo kuwakinga na madhara ya sumu kwa kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya kemikali mbalimbali. Kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Frank Mvungi.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger