Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick
Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya
Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam jana
Jumatatu Januari 11, 2016
Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick
Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi
ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
Dar es salaam jana Jumatatu Januari 11, 2016 (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment