KATIBU wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda, amepinga kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar unaotarajia kufanyika Machi 20, mwaka huu.
Uchaguzi huo
unarudiwa baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum
Jecha, kufuta matokea yaliyopatikana katika uchaguzi wa Oktoba 25, mwaka jana.
Jecha
alifuta uchaguzi huo kwa kile alichodai uligubikwa na dosari kadhaa, ikiwemo
baadhi ya vyama kujitangazia matokeo.
SHARE
No comments:
Post a Comment