Akiwa
kwenye show mjini New York rapa 50 Cent amezidi kumdiss Meek Mill kwa
kumtumia mpenzi wake Nicki Minaj. Pamoja na kutangaza kuwa hatakuwa na
beef na mtu ambaye hajauza zaidi ya kopi milioni moja 50 Cent anasema
“All you can do is run to Nicki, If a crazy nia at the door, banging on the door and the nia send his bitch first”
Album mbili za kwanza za 50 Cent “Get Rich or Die Tryin na The Massacre” zimeuza zaidi ya kopi milioni moja.
SHARE
No comments:
Post a Comment