Hassan akizungumza na uongozi wa Benki ya CRDB ulioongozwa na
Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati uongozi
huo ulipomtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu, Dar es Salaam
kwa lengo la kumuelezea kuhusu benki hiyo itakavyoweza kusaidia
wajasiriamali wadogowadogo.
SHARE
No comments:
Post a Comment