Mfanyakazi
wa Vodacom Tanzania, Evans Lyimo(kushoto)akimuuliza swali mtaalamu wa
masuala ya Saikolojia na Mahusiano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt.
Chris Mauki(hayupo pichani)wakati alipokuwa akiongea na wafanyakazi
wanaume wa kampuni hiyo kuhusiana na jinsi ya kuwekeza kwa mtoto wa kike
katika kuazimisha siku ya wanawake duniani jana.
Mtaalamu
wa masuala ya Saikolojia na Mahusiano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
Dkt. Chris Mauki(kulia)akifafanua jambo wakati alipokuwa akitoa elimu
kwa baadhi ya wafanyakazi wanaume wa Vodacom Tanzania ya jinsi ya
kuwekeza kwa mtoto wa kike katika kuazimisha siku ya wanawake duniani
jana.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na
Mtaalamu wa masuala ya Saikolojia na Mahusiano wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam,Dkt. Chris Mauki(kulia)baada ya kutoa elimu kwa baadhi ya
wafanyakazi wanaume wa kampuni hiyo ya jinsi ya kuwekeza kwa mtoto wa
kike ikiwa katika kuazimisha siku ya wanawake duniani jana.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza Mtaalamu wa Masuala ya
Saikolojia na Mahusiano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Dkt. Chris
Mauki(hayupo pichani)wakati wa kuelimishwa kwa baadhi ya wafanyakazi
wanaume wa kampuni hiyo,Jinsi ya kuwekeza kwa mtoto wa kike ikiwa katika
kuazimisha siku ya wanawake duniani jana.
SHARE
No comments:
Post a Comment