Mwalimu
wa Chuo cha Zenith Learning Center Ali Mussa Mohammed, akizungumza
kabla ya kuaza Mahafali ya Nne ya Chuo hicho yaliofanyika katika Ukumbi
wa Chuo hicho Majestik Zanzibar jengo la Zanlink,Jumla ya Wahitimu 28
wametunikiwa Vyeti vyao na Mwenyekiti wa Bodi ya Kamisheni ya Utalii
Zanzibar Dr Ahmada Khatib.
Mkuu
wa Mafunzo wa Chuo cha Zenith Learning Center Mundhir Nassor akitowa
maelezo ya Kozi zinazotolewa na Chuo hicho kwa mgeni Rasmin kabla ya
kuzungumza na wahitimu na kuwakabidhi vyeti vyao, Chuo hicho kinatowa
Kozi ya Kimataifa ya Ukataji wa Tiketi za Ndege kwa Njia ya Kielectoniki
(GALILEO RESERVATION SYSTEM)
Wahitimu
wa Mafunzo hayo wakiwa ukumbi wa Mahafali hayo ya yaliofanyika katikav
Ukumbi wa Chuo hicho Majestik Zanzibar jengo la Zanlink
Mgeni
Rasmin wa Hafla hiyo ya Mahafali ya Nne ya Chuo cha Zenith Learning
Centr akiwa na Viongozi wa Chuo hicho wakati wa Mahafali hayo
yaliofanyika katika Chuo hicho Zanzibar.
Mwakilishi
wa Travelport Zanzibar Ndg Rashid Ntalaluka akizungumza wakati wa
mahafali hayo ya Nne ya Chuo hicho kwa Wahitimu wa Kozi ya Kimataifa ya
kutowa huduma ya Ukataji wa Teketi kwa Njia ya Kieletroniki (Galileo
Reservation System) na kuwaasa Vijana hao kutumia mafunzo hayo kwa
utaalamu wa hali ya juu.
Mkurugenzi
wa Zenith Tours& Travel Ndg Salim M Suleiman, akitowa nasaha
zake kwa wahitimu hao wakati wa mahafali hayo ya Nne ya Chuo hicho
yaliofanyika katika ukumbu wa chuo hicho jengo la Zanlink Zanzibar.
No comments:
Post a Comment