Baada ya
sare ya goli 1 – 1 kati ya Yanga na APR katika Uwanja wa Taifa wa Dar es
Salaam, mabingwa hao wa Tanzania wamefanikiwa kufuzu hatua inayofuata
ya Kombe la Mabingwa Afrika kwa kuwa na ushindi wa jumla ya magoli 3 –
2.
Yanga inataraji kukutana na Al Alhy ya Misri ambayo nayo iliibuka na ushindi wa goli 2 – 0 kwa bila dhidi ya Libolo ya Angola.
Aidha
mchezo wa kwanza wa Yanga na Alhy unataraji kuchezwa Tanzania Aprili, 9
na marudio yanataraji kuwa Aprili, 19 nchini Misri.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment