Mkurugenzi
mstaafu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana
(kulia) akimkabidhi Mkurugenzi mkuu mpya wa shirika hilo Dk.Ayoub Ryoba
Taarifa ya Makabidhiano ya ofisi leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
mstaafu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana
akizungumza jambo wakati wa sherehe za kuwaaga wafanyakazi wa shirika la
utangazaji Tanzania (TBC) na kumkaribisha mkurugenzi mkuu mpya
Dkt.Ayoub Ryoba (wa pili kulia) leo jijini Dar es Salaam.Wengine Pichani
ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya TBC Balozi Herbert E.Mrango na
mjumbe wa bodi ya wakurugenzi Bi.Elimbora Muro (wa kwanza kushoto).
Wafanyakazi
wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) wakimskiliza Mkurugenzi mkuu
mpya wa shirika hilo Dk.Ayoub Ryoba (hayupo Pichani) wakati alipokuwa
akiongea nao leo jijini Dar es Salaam
SHARE
No comments:
Post a Comment