TRA

TRA

Tuesday, March 22, 2016

Tuhuma za Ufisadi, Zitto, Bashe Wajiuzulu Ujumbe Kamati ya Bunge

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


zitto_pac
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishutumu Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wamepokea rushwa.
Alichokiandika Zitto: “Kutokana na shutuma hizo ameamua kumuandikia spika  barua  ya kujiuzulu  na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.”
Hii  ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
1
bashe.jpg
Naye Mbunge wa Nzega Mjini, ametoa shutuma kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wamepokea rushwa.
Kutokana na shtuma hizo, Bashe ameamua kuungana  na  Zitto Kabwe  kumuandikia spika  barua  ya kujiuzulu  na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.
Hii  ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
2

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger