Mwakilishi kutoka Burundi akichangia mada wakati wa kipindi cha kutoa maoni toka nchi wanachama wa Bunge la Afrika Mashariki ambapo jana 04 Machi, 2016 Wabunge hao wamehitimisha Semina yao ya siku mbili iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka Rwanda akichangia mada wakati wa kipindi cha kutoa maoni toka nchi wanachama wa Bunge la Afrika Mashariki ambapo jana 04 Machi, 2016 Wabunge hao wamehitimisha Semina yao ya siku mbili iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka Tanzania akichangia mada wakati wa kipindi cha kutoa maoni toka nchi wanachama wa Bunge la Afrika Mashariki ambapo jana 04 Machi, 2016 Wabunge hao wamehitimisha Semina yao ya siku mbili iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka Uganda akichangia mada wakati wa kipindi cha kutoa maoni toka nchi wanachama wa Bunge la Afrika Mashariki ambapo jana 04 Machi, 2016 Wabunge hao wamehitimisha Semina yao ya siku mbili iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Wawakilishi kutoka Kenya wakichangia mada wakati wa kipindi cha kutoa maoni toka nchi wanachama wa Bunge la Afrika Mashariki ambapo jana 04 Machi, 2016 Wabunge hao wamehitimisha Semina yao ya siku mbili iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Wabunge kutoka Bunge la Jamhuri la Muungno wa Tanzania wakiuliza maswali na kutoa maoni yao kuhusu mada mbalimbali zikizotolewa na watoa mada mbalimbali jana 4 Machi, 2016 ambapo Wabunge hao wamehitimisha Semina yao ya siku mbili iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mbunge kutoka Bunge la Uganda akiuliza maswali na kutoa maoni yake kuhusu mada mbalimbali zikizotolewa na watoa mada mbalimbali jana 4 Machi, 2016 ambapo Wabunge hao wamehitimisha Semina yao ya siku mbili iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mbunge kutoka Bunge la Rwanda akiuliza maswali na kutoa maoni yake kuhusu mada mbalimbali zikizotolewa na watoa mada mbalimbali jana 4 Machi, 2016 ambapo Wabunge hao wamehitimisha Semina yao ya siku mbili iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mbunge kutoka Bunge la Uganda akiuliza maswali na kutoa maoni yake kuhusu mada mbalimbali zikizotolewa na watoa mada mbalimbali jana 4 Machi, 2016 ambapo Wabunge hao wamehitimisha Semina yao ya siku mbili iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mbunge kutoka Bunge la Burundi akiuliza maswali na kutoa maoni yake kuhusu mada mbalimbali zikizotolewa na watoa mada mbalimbali jana 4 Machi, 2016 ambapo Wabunge hao wamehitimisha Semina yao ya siku mbili iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Wabunge kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki wakiziwakilisha nchi zao wakati uwasilishaji mada kuhusu masuala ya uchaguzi ukiendelea jana 4 Machi, 2016 wkaati wa ufungaji wa Semina ya siku mbili iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wabunge waliohudhuria Semina ya siku mbili kujadili masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi katika nchi za Afrika Mashariki, katika Mkutano huo Wabunge wa Mabunge ya Afrika Mashariki wamehitimisha hapo jana 4 Machi, 2016 na kukubaliana makubaliano mbalimbali. Semina hiyo imefanyika Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Daniel Kidega akitoa ushauri juu ya namna uchagiaji wa mada mbalimbali ili kuepusha malumbano yasiyo na ulazima wakati wa siku ya ufungaji wa Semina ya siku mbili iliyowakutanisha Wabunge kutoka Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki kujadili masuala mbalimbali ya uchaguzi, Semina hiyo imehitimishwa jana 4 Machi, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Daniel Kidega akitoa nasaha zake za mwisho wakati wa siku ya ufungaji wa Semina ya siku mbili iliyowakutanisha Wabunge kutoka Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki kujadili masuala mbalimbali ya uchaguzi, Semina hiyo imehitimishwa jana 4 Machi, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Makamu Waziri Mkuu wa Uganda, Mhe. Kirunda Kivejinja akitoa nasaha zake za mwisho na kufunga Semina ya siku mbili iliyowakutanisha Wabunge kutoka Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki kujadili masuala mbalimbali ya uchaguzi, Semina hiyo imehitimishwa jana 4 Machi, 2016 Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benedict Liwenga-Maelezo)
SHARE
No comments:
Post a Comment