Waziri
Mkuu, Kasim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Bariadi Magharibi,
Andrew Chenge baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Dutwa akiwa katika
ziara ya mkoa wa Simiyu Machi3, 2016.Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum ,
Esther Midimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitaka maelezo kutoka kwa Kamanda wa Polisi wa
Mkoa wa Simiyu, Onesmo Lyanga kuhusu madai kuwa askari wa Usalama
Barabarani mkoani humo wanawatoza faini kubwa hadi sh 300,000/=
waendesha bodaboda. Alikuwa katika mkutano wa kuwaslimia wananchi kwenye
kijiji cha Dutwa wilayani Bariadi Machi 3, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kasim Majliwa akikagua ujenzi wa nyumba ya kuishi ya Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi akiwa akika ziara ya mkoa wa Simiyu
Machi 3, 2016. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kasim Majliwa akikagua ujenzi wa nyumba ya kuishi ya Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi akiwa akika ziara ya mkoa wa Simiyu
Machi 3, 2016. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)
Wasanii
wa Bariadi wapiga ngoma wakati Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa alipowasili
kwenye bwawa la Ng’wansubuya wialayani Bariadi kufungua bwawa hilo Machi
3, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment