TRA

TRA

Wednesday, April 27, 2016

BIMA YA AFYA YA AAR YAADHIMISHA SIKU YA MALARIA DUNIANI HOSPITALINI AMANA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


index
Ikiwa ni wiki amabayo  ya Malaria Duniani, Mataifa mbaliombali Duniani hutumia nafasi hii kufanya shughuli mbali mbali katika kuadhimisha wiki na siku ya Malaria duniani.
Kampuni  ya Bima ya AAR  imetembelea Hospitali ya Amana iliyoko Ilala Dar es salaam na kutoa msaada wa vyandarau kwa wamama wajawazito katika kutimiza lengo la kupunguza uenezi  wa gonjwa la Malaria.
Akiongea na wandishi Habari Hospitalini hapo, Afisa Mahusiano wa kampuni ya bima ya AAR, Bibi Amisa Juma alisesema, “Tukiwa kama wadau wa Afya Tanzania, ni jukum  letu katika jamii kuonyesha mfano wa kupambana  na maradhi mbalimbali ikiwemo hili Malaria.
Hii imakua ni  utamaduni kwa kampuni ya Bima ya AAR kuadhimisha siku ya Malaria Duniani kwa kushirikiani na Jamii katika shughuli mbali ikiwemo kuchangia kutoa elimu juu ya kujikinga na tiba pamoja na kuchangia matibabu kwa jamii tofauti ya Tanzania. Almalizia Bibi Amisa.
Wafanyakazi wa AAR walitembelea hodi ya kina na mama wajawazito na watoto na kutoa msaada huo.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger