Diamond Platnumz
amemaliza kufanya show zake kwenye miji tisa ya Ulaya na sasa amerudi
nyumbani Tanzania kwa ajili ya kuendelea na harakati nyingine…. wakati
anatua Airport Dar es salaam AyoTV ilimpata kwenye Interview hii hapa chini.
ULIIKOSA SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI MAREKANI? ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment