TRA

TRA

Monday, April 18, 2016

Fabregas kaweka wazi kosa lililomuondoa Jose Mourinho Chelsea, lakini bado wanawasiliana

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea klabu ya Chelsea ya Uingereza Cesc Fabregas amefunguka na kueleza lililomfanya kocha wa zamani wa klabu ya hiyo Jose Mourinho atimuliwa kazi mwezi December, licha ya kuipatia Ubingwa wa Ligi Kuu msimu uliopita.
Fabregas ameweka wazi wakati akifanya mahojiano na kituo cha tv cha Sky Sports kuwa, bado anawasiliana na kocha wake wa zamani wa Chelsea na siku zote huwa anawalaumu wachezaji wa Chelsea kwa kumuangusha na kusababisha apoteze ajira yake Stamford Bridge.
Football - Chelsea v Norwich City - Barclays Premier League - Stamford Bridge - 21/11/15 Chelsea's Cesc Fabregas talks to manager Jose Mourinho Reuters / Stefan Wermuth Livepic EDITORIAL USE ONLY. No use with unauthorized audio, video, data, fixture lists, club/league logos or "live" services. Online in-match use limited to 45 images, no video emulation. No use in betting, games or single club/league/player publications. Please contact your account representative for further details.
Fabregas na Jose Mourinho
“Na muheshimu sana Mourinho na bado huwa tunawasiliana, kosa lake kubwa alilolifanya Chelsea ni kutuamini kupita kiasi na kutupa mapumziko ya mara kwa mara, kwa sababu tulikuwa mabingwa, hiyo ndio sababu iliyomfanya aondoke” >>> Cesc Fabregas

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger