Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe. Mehd Aghajafari
wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es
salaam leo April 11,2016, kwenye mazungumzo yao Viongozi hao
wamezungumzia suala la kukuza Ushirikiano kati ya Nchi mbili hizi.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akipokea Cheti maalum kutoka kwa Muwakilishi wa Jumuiya ya Watu wenye
ulemavu Nchini Bibi Stela Jailos kwa ajili ya kutambua mchango mkubwa wa
Serikali ya awamu ya 5 kwa Watu wenye Ulemavu.(Picha na OMR) (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment