Kamishna
Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania Mkadam Khamis Mkadam,ambaye ni
Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja, akimkabidhi Bi.Fauzia
Mohamed Hassan mkaazi wa Fuoni zawadi kutoka Tigo katika maadhimisho ya
Karume dTigo waadhimisha siku ya Karume day na wateja wake, katika
ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar.
Kamishna
Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania, Mkadam Khamis Mkadam, Kamanda wa
Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja,akimkabidhi Bwana Nadim Ibrahim
mkaazi wa Malindi zawadi kutoka Tigo katika maadhimisho ya Karume day,
katika ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar. (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment