TRA

TRA

Friday, April 8, 2016

MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI VYA CCM

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru publications Limited, Wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Ramadhani Mkoma, akimweleza jambo, Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaa Kikwete alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Uhuru Publicatiions Ltd  alipotebelea kampuni hiyo jana. Pamoja naye ni Msemaji wa CCM, Cliristopher Ole Sendeka na Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media, Adam Kimbisa.

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni alipoingia katika Ofisi za Uhuru FM leo. Wengini ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka, Adam Kimbisa na Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali

Baadhi ya wayanyakazi wa UHURU FM wakiwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipoingia studio wa Uhru FM.  (P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger