
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akilakaiwa na Kaimu Katibu wa
CCM mkoa wa Iringa, Elisha Mwampashi ambaye ni Katibu wa CCM wilaya ya
Iringa Mjini, alipowasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi katika
mji mdogo wa Mafinga leo April 2, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi,
kuzungumza na watumishi wa Chama ili kusikiliza changamoto na kero
zinazowakabili. Kulia ni Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi Jimson Mhagama.
(Picha na Bashir Nkoromo).

Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akizungumza na viongozi
waandamizi wa CCM katika wilaya ya Mafinga na mkoa wa Iringa, kabla ya
kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya
Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo, Mafinga mkoani
Iringa, leo Aprili 2, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo).

Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisindikizwa na Mwenyekiti wa CCM
wilaya ya Mufindi, Yohanes Kaguo, kwenda ukumbini kuzungumza na Makatibu
wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa
Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016. (Picha na
Bashir Nkoromo).

Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akiingia ukumbini, kuzungumza na
Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika
ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
(Picha na Bashir Nkoromo).

Wajumbe
wakimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi wakati
akiingia ukumbini, kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata
katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo
mkoani Iringa,leo Aprili 2, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo).(P.T)
SHARE








No comments:
Post a Comment