TRA

TRA

Thursday, April 28, 2016

TIMU ZA MPIRA WA PETE NA MIGUU ZA BUNGE ZAPONGEZWA KWA KUFANYA VIZURI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



AK1
Naibu Spika Mhe. Dkt. Tulia Akson akitoa maelekezo wakati wa mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma.
AK2
Mbunge wa Viti Maalum Tabora mjini Mhe. Mwanne Nchemba (CCM) akichangia hoja wakati kujadili hoja ya Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora inayoongozwa na Mawaziri George Simbachakene  na Angella Kairuki iliyowasilishwa mapema leo Bungeni mjini Dodoma.
AK3
Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (CHADEMA) akichangia hoja wakati kujadili hoja ya Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora inayoongozwa na Mawaziri George Simbachakene  na Angella Kairuki iliyowasilishwa mapema leo Bungeni mjini Dodoma
AK4
Wabunge wakifuatilia mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora inayoongozwa na Mawaziri George Simbachakene  na Angella Kairuki iliyowasilishwa mapema leo Bungeni mjini Dodoma
AK5
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akiongea na Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa (katikati) mara baada ya kumalizika mkutano wa Bunge leo mjini Dodoma.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger