
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akitoa ufafanuzi wa masuala ya wafanyakazi wa
Ofisi hiyo wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri
Mkuu Aprili 9, 20 katika Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu

Baadhi ya
wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia
hoja za Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu
wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani)) wakati wa mkutano
wa baraza hilo tarehe 9 Aprili, 2016 katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri
Mkuu.

Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamis Mwinyimvua
akizungumza wakati wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Aprili
9, 2016 Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge,
Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment