Meneja
Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiongea na waalikwa
waliohudhuria uzinduzi wa huduma mpya ya michezo kidijitali ijulikanayo
kama Tigo Games jijini Dar Es Salaam jana.Tigo Games ni huduma katika
wavuti ambayo imesheheni michezo mingi kwa ajili ya wateja wa Tigo
wenye simu za Smartphone au Tablet zinazotumia mfumo wa Android ambao
wataweza kupata huduma hii kwa kupakua App ya Tigo Games.
Wasanii wakiigiza kama Mazombie katika kunogesha uzinduzi wa TIGO GAMES
Wasanii wakicheza mpira katika uzinduziwa tigo games mapema jana katika ukumbi wa High Spirit Jijini Dar es salaam
Wadau mbalimbaliwakipata taswira mbele ya gari katika RED carpert
Wasanii wakiwa katika pozi na mfano wa Risasi katika uzinduzi wa TIGO GAMES(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment