TRA

TRA

Tuesday, July 12, 2016

MHE. KAIRUKI ATAKA WATUMISHI KUSHIRIKISHWA KATIKA NYARAKA MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !




 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa maelekezo kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Bi. Zena Said wakati wa kikao kazi na Viongozi wa Mkoa wa Tanga kilichofanyika tarehe 11//7/2016 ofisini kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Martine Shigela.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akiongea na watumishi wa mkoa wa Tanga (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi na watumishi hao kilichofanyika tarehe 11//7/2016 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akisikiliza maoni ya watumishi wa mkoa wa Tanga (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi na watumishi hao kilichofanyika tarehe 11//7/2016 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga. Kulia kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Bi. Zena Said na Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Martine Shigela.
 Ofisa Mwendeshaji kutoka GEPF mkoani Tanga, Bwana, Erick Haule akitoa maoni wakati wa kikao kazi cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na watumishi wa mkoa wa Tanga kilichofanyika tarehe 11//7/2016 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Handeni, Bwana John Mahali, akitoa maoni wakati wa kikao kazi cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na watumishi wa mkoa wa Tanga kilichofanyika tarehe 11//7/2016 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger