TRA

TRA

Tuesday, July 12, 2016

WAFANYAKAZI WA BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR WAPATIWA MAFUNZO JUU UFUATILIAJI DAWA SOKONI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !




Mkufunzi wa mafunzo ya ufuatiliaji wa Dawa katika soko Bi. Kisa Mwamwitwa akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar katika ukumbi wa ofisi za malaria Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar.
Mratibu wa uwiano wa matumizi ya Dawa Afrika mashariki kwa upande wa Zanzibar Bi. Hidaya Juma Hamadi akisoma utaratibu wa mafunzo ya wiki mbili ya ufuatiliaji wa dawa katika soko kwa wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar.

Baadhi ya wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ( ZFDB) wakifuatilia mafunzo hayo.
Mfamasia kitengo cha uangalizi wa usalama wa dawa sokoni Nassir Salum Buheti akiuliza suali kwa Mkufunzi Kisa Mwamwitwa (hayupo pichani) katika mafunzo ya ufuatiliaji dawa sokoni yaliyofanyika ukumbi wa ofisi za malaria Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar.
Picha ya pamoja ya washiriki wa mafunzo ya wiki mbili kwa wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ( ZFDB). Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.​

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger