Mhadhiri
Msaidizi kutoka chuo kikuu cha Dodoma, Lucian Ngeze akitoa ufafanuzi
kuhusu kutenga matumizi ya LUKU ya nyumba moja kadili ya matumizi ya
kila mtu.
Mhadhiri
kutoka collage ya Education chuo kikuu cha Dodoma, Dk. Pambasi Tandika
akimsikiliza mwanafunzi baada ya kumweleza jinsi ya kujiunga chuoni hapo
wakati wa maonesho ya vyuo vikuu yaliyoshirikisha vyuo mbalimbali hapa
nchini.
CHUO
kikuu cha Dodoma chashiriki Maonesho ya Vyuo vikuu hapa nchini
yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam, ambayo yatafanyika kwa kwa takribani siku tatu kuanzia jana
Julai 20 hadi Julai 22 mwaka huu.
Katika
maenesho hayo Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa
Joyce Ndalichako ametembelea mabanda mbalimbali katika maonesho hayo ya
Vyuo Vikuu(TCU)
Mhadhiri
Msaidizi kutoka collage ya CIVE chuo kikuu cha Dodoma, Ms Tulibako
Tulibonywa akitoa ufafanuzi mbele ya vijana waliotembelea kwenye banda
la chuo hicho jana
Mhadhiri
wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Kadaso Kipingili(Mwenye Tshart Nyeupe) akitoa
ufafanuzi kuhusu maelezo kwa wananchi waliofika katika banda la chuo
kikuu cha Dodoma jana wakati wa maonesho ya Vyuo vikuu yaliyoandaliwa na
TCU.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment