TRA

TRA

Tuesday, July 19, 2016

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MOHAMMED ABOUD AUFUNGUA TAMASHA LA MZANZIBARI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akitoa hotuba ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja jana,
index
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar akitoa maelzo kuhusu Tamasha la Mzanzibari wakati wa Ufunguzi wa tamasha hilo lililofunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar.
g
Wasanii mbali walioimba wimbo wa Kipindupindu mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibar liliofungulia jana  kwa niaba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
gg
Wasanii wa Jeshi la mafunzo Zanzibar wakicheza ngoma ya Mkurungu yenye asili yake kjijiji cha Nungwi Wilaya Kaskazini A.Unguja wakati wa ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari lililofunguliwa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar.
8
Maafisa mbali mbali na wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari wakifuatilia kwa makini hotubaya iliyotolewa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed   kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

7
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika Sherehe za ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari zilizofanyika jana katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
6
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika Sherehe za ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari zilizofanyika jana katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
5
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed (wa pili kushoto) akiangali bidhaa za wajasiriamali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho   kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja jana.
4
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akiangali bidhaa za wajasiriamali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho   kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja jana.
3
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akiangalia kamusi la lahaja la Kipemba wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa  za wajasiriamali kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya  Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja.
2
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akitembelea mabanda ya maonesho ya biashara mbali mbali za wajasiriamali kabla ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja jana,
[Picha na Ikulu.]19/07/2016.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger