TRA

TRA

Tuesday, August 2, 2016

SAFARI YA MWISHO YA MZEE JOSEPH SENGA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Mwili ukiwasili katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba Mwanza kwa ajili ya taratibu za maziko.
Mama wa marehemu akilia kwa uchungu huku akifarijiwa na ndugu.
 
Mama wa marehemu akisaidiwa kugusa mwili wa mwanae kwa mara ya mwisho kabla ya maziko.
Mke wa marehemu akigusa mwili wa mumewe kwa mara ya mwisho kabla ya maziko.
Waandishi wa habari wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Joseph Senga.
Mke wa marehemu Winfrida Senga akiweka shada la maua katika kaburi la mumewe, marehemu Joseph Senga.
Mtoto wa marehemu, Joel Senga akiweka shada la maua.
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Free Media, Neville Meena akiweka shada la maua.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe  akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mpigapicha Mkuu wa gazeti la Tanzania Daima marehemu Joseph  Senga wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba, Mwanza.
 
Ibada ya mazishi ikiendelea.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiweka udongo katika kaburi la marehemu.
Mwili wa aliyekuwa Mpigapicha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, Marehemu Joseph Senga ukiwekwa kaburini wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba, Mwanza. 
 
Ibada ya mazishi ikiendelea.
 
Wanafamilia wakiwa katika ibada ya mazishi katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba, Mwanza. (Picha na Said Powa) (P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger