
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleiman Jaffo akizungumza kwenye mkutano wahadhara
kwenye
soko maarufu la Kwamrombo kabla ya kuzindua kisima cha maji kwaajili ya
matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya
kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha .

Naibu Waziri
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleiman
Jaffo akizindua kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwaajli
ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha .

Wananchi
wakifurahia hotuba ya Naibu Waziri Jaffo ambaye alitumia mkutano huo
kumwagiza Meneja wa Tanesco kuwaunganishia umeme mapema inavyowezekana.

Wananchi
wakifurahia hotuba ya Naibu Waziri Jaffo ambaye alitumia mkutano huo
kumwagiza Meneja wa Tanesco kuwaunganishia umeme mapema inavyowezekana.

Mstahiki
Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro(kushoto) akimweleza jambo Naibu
Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa(Tamisemi)Suleiman Jaffo eneo la Olmoti kilipo kisima cha maji
kinachowahudumia wananchi wa Kata ya Olmoti na Olasiti pia maji hayo
yatatumika kwenye mahakama ya kimataifa ya MICT,kutoka kulia ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa
Mazingira,Mhandisi Ruth Koya,Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Athumani
Kihamia na Mkuu wa wilaya ya Arusha,Mrisho Gambo(katikati). (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment