
Gari la Naibu Waziri wa Tamisemi likionekana baada ya kugongwa katika ajali hiyo.

Gari lililoigonga gari la Naibu Waziri likiwa limetupwa korongoni.

Askari wa usalama barabaran wilaya Rungwe, Mbeya wakipima ajali ilivyotokea.


Naibu Waziri wa Tamisemi, Suleiman Jafo amepata ajali eneo la Katela Kata ya Kiwira, Wilaya ya Rungwe Mbeya.
Ajali
hiyo imehusisha gari dogo aina ta Corola iliyokuwa ikotokea Mbeya kwenda
Rungwe na Naibu Waziri Jafo alikuwa akitokea Tukuyu kikazi.
Katibu
Tawala Mkoa wa Mbeya, Mariam Mtunguja amesema katika gari Waziri
walikuwa watatu, Waziri Jafo mwenyewe Katibu wake na Dereva na wote
walitoka salama katila ajali hiyo.
Alisema
baada ya kupata ajali hiyo walipelekwa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya ambapo
walifanya uchunguzi kama wameumia kwa ndan au laa! Lakin bahat nzuri
Daktari aliyewafanyia uchunguz alisema hakuumia popote ni wazima.
Alisema baada ya hapo Waziri na watu waliendelea na safari yao kuelekea mjini Dodoma kwa ajili ya kuwahi vikao vya Bunge.
Picha na Mbeya yetu (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment