MKUU
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katika
akiingia kwenye kituo cha Afya Cha Ubwari leo wakati alipokwenda
kuangalia zoezi la upasuaji wa macho kwa wakazi wa wilaya hiyo
wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo ya mtoto wa Jicho
iliyoendeshwa na Taasisi ya Medewell Charitable Health Centre kulia ni
Mganga Mkuu wa wilaya hiyo,Mathew Mganga na kushoto ni Mkurugenzi wa
Halmashauri hiyo,Luiza Mlelwa.
Baadhi ya wazee waliofanyiwa upasuaji wakisubiri zoezi la kupatiwa dawa na miwani
Baadhi ya wananchi waliofanyiwa upasuaji wakisubiri zoezi la kupatiwa dawa na miwani
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akizungumza wakati wa zoezi hilo la upasuaji
MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa zoezi la upasuaji huo.
MKUU
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa tatu
kutoka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wazee waliojitokeza
kupatiwa huduma za upasuaji wa macho waliokuwa na matatizo ya mtoto wa
Jicho
MKUU
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili
kulia akimkabidhi msaada wa vyakula mbalimbali mwakilishi wa wazee
waliofanyiwa upasuaji wa macho ili viweze kuwasaidia baada ya kumalizika
upasuaji huo watakapokwenda majumbani mwao wanaoshuhudia kulia ni
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa ,Mganga Mkuu
wa Halmashauri hiyo,Mathew Mganga wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala wa
wilaya ya Muheza Desderia Haule
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akipongezwa na
mwakilishi wa wazee hao mara baada ya Mkuu wa wilaya hiyo,Mhandisi,Hajat
Mwanasha Tumbo wa pili kulia kuwakabidhi vyakula vitakavyowasaidia
watakapotoka kwenye matibabu hayo na kurejea makwao Habari kwa Hisani ya
Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
SHARE
No comments:
Post a Comment