Mwenyekiti
wa Baraza la Kusimamia Mfumo wa Utoaji wa Leseni Zanzibar Vuai Mussa
Vuai akimkaribisha Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Balozi Amina
Salum Ali kufungua mafunzo ya siku moja ya Wajumbe wa Kamati ya Fedha,
Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi yaliyofanyika Ofisi ya
Baraza Malindi, Mjini Zanzibar.
Waziri
wa Biashara, Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akifungua mafunzo
ya siku moja ya wajumbe wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya
Baraza la Wawakilishi yaliyoandaliwa na Baraza la Kusimamia Mfumo wa
Utoaji Leseni katika Ofisi yao iliyopo Malindi Mjini Zanzibar.
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la
Wawakilishi wakimsikiliza Waziri wa Fedha Balozi Amina Salum alipokuwa
akifungua mafunzo ya siku moja yaliyofanyika Ofisi ya Baraza hilo
Malindi.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Yussuf
Hassan Iddi ambae ni muwakilishi wa Jimbo la Fuoni akitoa neno la
shukrani kwa mgeni rasmi baada ya kufungua mafunzo ya siku moja ya
Kamati hiyo.Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
SHARE
No comments:
Post a Comment