Mkurugenzi
wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika
(WILDAF), Dk Judith Odunga akizungumza na washiriki wa kongamano la Siku
ya Wanawake Duniani lililofanyika Dar es Salaam leo (Machi 6). Kusoto
kwake ni Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Umma kutoka Wizara ya
Katiba na Sheria, Justus Mulokozi, Mwenyekiti wa shirika hilo, Naomi
Kaihula (wa pili kulia) na wajumbe wengine wa shirika hilo.
Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Umma kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Justus Mulokozi akizungumza na
washiriki wa kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lililoandaliwa na
Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WILDAF) na
kufanyika Dar es Salaam leo (Machi 6).
Mwenyekiti wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WILDAF, Naomi Kaihula akizungumza
na washiriki wa kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lililoandaliwa na
shirika hilo na kufanyika Dar es Salaam leo (Machi 6).
Wasanii wa kikundi cha ngoma cha Nimujo wakiburudisha wakati wa kongamano hilo.
Wadau
na washiriki wa kongamano la Siku ya Wanawake duniani lililoandaliwa na
Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WILDAF)
Dar es Salaam janna.
Mkurugenzi
wa Huduma za Kisheria wa Umma kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Justus
Mulokozi akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Shirika la
Wanawake katika Sheria na Maendeleo Afrika (WILDAF) Naomi Kaihura
(kushoto kwake), Mkurugenzi wa shirika hilo, Dk Judith Odunga (kulia
kwake) na wajumbe wa shirika hilo wakati wa kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lililoandaliwa na Shirika hilo na kufanyika Dar es Salaam jana.
Washiriki
wa kongamano la Siku ya Wanawake duniani lililoandaliwa na Shirika la
Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WILDAF) wakifuatilia
matukio ya kongamano hilo Dar es Salaam jana.
SHARE
No comments:
Post a Comment