Korea Kaskazini imesema kuwa ulipuaji wa makombora manne hiyo jana ulikuwa mafunzo ya kujiandaa kushambulia vituo vya kijeshi vilivyoko nchini Japan na kwamba shughuli hiyo ilisimamiwa na kiongozi wa Taifa hilo katili Kim Jong-un.
Rais Trump alifanya mashauriano kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe, na Rais wa muda wa Korea Kusini kujadili jinsi ya kujibu kitendo hicho.
''Korea kaskazini imefyatua makombora yake manne leo na kuangukia karibu na eneo letu la maji lenye manufaa kwetu kiuchumi.
- Marekani yatishia kuiadhibu Korea Kaskazini
- Korea Kaskazini yarusha makombora tena
- Korea Kaskazini yamzungumzia balozi aliyekimbia nchi
- Umoja wa Mataifa kuiwekea Korea Kaskazini vikwazo
- Bendera: Tanzania na Korea Kaskazini zazozana
- Korea kaskazini yarusha makombora Japan
SHARE
No comments:
Post a Comment