Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick
Mpogolo akizungumza na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Youqing,
nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, jana, Machi 19, 2017.
Mazungumzo hayo yalihusu zaidi kuhusu juhudi za kuongeza ushirikiano
baina na CCM na Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) katika nyanja
mbalimbali ikiwemo uhusiano wa kidundugu uliopo kwa siku nyingi baina ya
vyama hivyo na uchumi. (Picha na Bashir Nkoromo).
SHARE
No comments:
Post a Comment