Mhandisi
Cosmas Kinasa akizungumza machache wakati akifunga rasmi semina ya
ujasiriamali ya “Manjano Dream-Makers” kwa wanawake wa mkoa wa Mbeya
akimwakilisha meneja wa SIDO Mkoa wa Mbeya. Mafunzo ya ujasiriamali hayo
yametokewa na Taasisi ya Manjano Foundation. Wanawake 30 wa Mkoa wa
Mbeya ni miongoni mwa wanawake walionufaika na mafunzo ya wiki mbili ya
ujasiriamali, vipodozi na urembo kupitia vipodozi vya LuvTouch Manjano.
Mafunzo
hayo yaliendeshwa na wataalamu wa mambo ya Biashara kutoka SIDO Mkoa wa
Mbeya wakishirikiana na maofisa wa Taasisi ya Manjano. Mafunzo hayo
yalilenga kumwezesha mwanamke wa Kitanzania kuondokana naMhandisi Cosmas
Kisana Akizungumza Machache Wakati akifunga Rasmi Semina ya
Ujasiriamali kwa Wanawake wa Mkoa wa Mbeya Kwa Niaba ya Meneja wa Sido
Mkoa wa Mbeya.Mafunzo ya Ujasiriamali Awamu ya kwa Katika Msimu wa Pili
wa Mradi wa Taasisi ya Manjano Foundation ya Mafunzo ya Ujarisiamali kwa
wanawake 30 kutoka Mkoa wa Mbeya Yamemalizika. Wanawake
30 wa Mkoa wa Mbeya ni Miongoni mwa wanawake walionufaika na mafunzo
ya ujasiriamali na namna ya kupamba kupitia vipodozi vya LuvTouch
Manjano. Mafunzo hayo yaliendeshwa na wataalamu wa mambo ya Biashara
Kutoka SIDO Mkoa wa Mbeya wakishirikiana na maofisa wa Taasisi ya
Manjano. Mafunzo
hayo yalilenga kumwezesha mwanamke wa Kitanzania kuondokana na tatizo
la ukosefu wa ajira kwa kujikita katika kujiajiri ndani ya Tasnia ya
Urembo na vipodozi. Mafunzo kama hayo yatafanyika pia kwenye mikoa ya
Mtwara,Tabora na Kigoma mwaka huu wa 2017.
Wakiongea
zaidi wanawake hao ambao wamepatiwa elimu ya biashara kutambua nafasi
yao katika jamii inayowazunguka pamoja na namba ya kupamba maharusi na
matumizi ya vipodozi. Wamemshukuru Mama Shekha Nasser kwa moyo wenye
kuwajali na kuwabeba wanawake wenzake na kutoa elimu ya bure aliyokuwa
nayo kwa wengine ili waweze nao kujiongezea kipato na kupunguza ukali wa
maisha. Wamemshukuru na wameahidi kuyatumia mafunzo hayo kwa lengo la
kujikwamua na tatizo la ukosefu wa ajira kwa wanawake na pia kujiongezea
kipato.
SHARE
No comments:
Post a Comment