Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisiliza
changamoto za wakulima na wafugaji katika kjijiji cha Fukayosi wilaya
ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama kwa muda na hatimaye kutoa
maelekezo ya namna ya kutatua migogoro hiyo akiwa njia kuelekea Dar es
salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
wanakjijiji wa Fukayosi wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama
kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati
ya wakulima na wafugaji
akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo
kwa Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mhe. Maggid Mwanga baada ya kuongea na
wanakjijiji wa Fukayosi wilayani humo aliposimama kwa muda na hatimaye
kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na
wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya
kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017.
Baadhi ya wananchi wakishangilia
hotuba ya Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipoongea nao katika
kijiji cha Fukayose wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
wanakjijiji wa Fukayosi wilayani humo aliposimama kwa muda na hatimaye
kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na
wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya
kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017.
PICHA NA IKULU
SHARE
No comments:
Post a Comment