Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mauritius, Bw. Vishnu
Lutchmeenaraidoo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Sir Seewoosagur Ramgoolam nchini Mauritius kumwakilisha Rais John
Pombe Magufuli katika Uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Africa mjini Port
Luis kuanzi Machi 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment