Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(aliyesimama) akizungumza na Kamati ya
Bunge ya maendeleo ya Jamii pamoja na Uongozi wa Shirika la Utangazaji
la Taifa (TBC) wakati kamati hiyo chini ya mwenyekiti Mhe. Peter
Serukamaba (Mb) ilipotembelea Shirika hilo Jijini Dar es Salaam .
SHARE
No comments:
Post a Comment