Naombeni msome sana ,shikeni elimu maana ndiyo msingi wa maisha ,mmeelewa?ndiyooooo.wanasikika wakisema.
Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mwl Ryoba Mara akumbuka kazi yake aliyosomea mara alipowatembelea watoto wa shule ya msingi Mugumu A.
Mbunge Marwa Ryoba kulia,katikati Mwalimu Derick Misango na Robert Ng'oina mwenyekiti wa kamati ya shule hiyo
SHARE
No comments:
Post a Comment