TRA

TRA

Monday, March 6, 2017

MBUNGE MATIKO NITAENDELEA KUTUMIKIA WANACHI WA TARIME VYEMA.

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI CHADEMA ESTHER MATIKO AKONGEA NA WANANCHI JANA KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA UWANJA WA SERENGETI MAARUFU SHAMBA LA BIBI MJINI TARIME MKOANI MARA.
AKISALIMIA WANACHI SALAMU YA CHAMA AMESISITIZA SUALA LA MADAI YA WALIMU AMEZUNGUMZIA MASUALA YA SEKTA YA AFYA , MAJI PAMOJA NA MICHEZO LENGO NI KUHAKIKISHA ANASUKUMA GURUDUMU LA MAENDELEO KATIKA MJI WA TARIME.

WANANCHI WAKISIILIZA MBUNGE

WA KWANZA KUSHOTO NI DIWANI WA VITI MAALUMU CHADEMA KATA NYANDOTO MAMA TEKRA JOANES AKIFUATIWA NA MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MJI WA TARIME AMBAYE NI DIWANI WA KATA YA NYAMISANGURA BASHIR ABDALAH NA WATATU NI MWENYEIKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME KHAMIS NYANSWI AKIFUATIWA NA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI CHADEMA MATIKO NA WA KWANZA KUTOKA KULIA NI KATIBU WA CHADEMA MKOA WA MARA MWL CHACHA HECHE.
WAJUMBE KATIKA MKUTANO HUO
DIWANI WA KATA YA TURWA ZAKAYO WANGWE AKIONGEA NA WANACHI KATIKA MKUTANO AMBAPO AMEZIDI KUSISITIZA WANANCHI KUENDELEA KUJITOLEA KATIKA UJENZI WA SHULE MPYA INAYOENDELEA KUJENGWA KATANI MWAKE.
KATIBU WA MBUNGE JIMBO LA TARIME MJINI PETER MAGWI AKIWASILISHA TAARIFA KUTOKA OFISI YA MBUNGE KWA KILE WALICHOKIFANYA MPAKA SASA KATIKA SEKTA YA ELIMU, AFYA MAJI NA MIUNDOMBINU YA BARABARA.
DIWANI WA KATA YA NYAMISANGURA AMBAYE PIA NI MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME BASHIRI ABDALLAH AKIONGEA NA WANACHI WA TARIME NAKKUSEMA KUWA ATASIMAMA IMARA KATIKA UJENZI WA OFISI YA KATA BILA KUJALI ITIKADI ZA VYAMA.
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME KHAMIS NYANSWI AKIONGEA NA WANANCHI KATIKA MKUTANO WA HADHARA AMBAPO AMESEMA KUWA AMEAMUA KUANZISHA MASHINDANO YA KIELIMU KATIKA SHULE TATU ZA MSINGI KWA LENGO LA KUBORESHA ELIMU.
MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TARIME LUCAS NGOTO AKITOA SALAMU YA CHAMA KATIKA MKUTANO HUO.
KATIBU WA CHADEMA MKOA WA MARA MWL CHACHA HECHE AKISISITIZA JAMBO KATIKA MKUTANO HUO AMEWATAKA VIONGOZI WASIOKUWA WAADIRIFU KUJIONDOA MAPEMA "HATUTAVUMILIA KIONGOI ANAYETOKANA NA CHADEMA KUENDELEZA RUSHWA ZA AINA YEYOTE TUMIKIENI WANCHI KAMA KATIBA YA CHAMA INAVYOSEMA ALISEMA CHACHA"

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger