Rais
na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli akijiandaa kufyatua risasi
ya bastola kuashiria matumizi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa
Ngerengere mkoani Morogoro leo Machi 6, 2017
Rais
na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli na Balozi wa China nchini
Dkt wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa
ndegevita wa Ngerengere mkoani Morogoro leo Machi 6, 2017
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa
uzinduzi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere mkoani
Morogoro Machi 6, 2017.
Rais
na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa
uzinduzi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere mkoani
Morogoro Machi 6, 2017.
SHARE
No comments:
Post a Comment