Mwenyekiti
wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha Pasaka, Alex Msama, akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya tamasha
hilo litakalofanyika Aprili 16 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es
Salaam. (Picha na Francis Dande).

waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maanfdalizi ya tamashi
hilo litakalofanyika Aprili 16 kwenye Uwanja wa Uhuru.

NA Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya
Msama Promotions inayoratibu Tamasha la
kimataifa la Muziki wa injili tangu
mwaka 2000, imesema maandalizi ya tukio la mwaka huu yanakwenda vizuri ambapo
tukio la mwaka huu litafanyika katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza
jijini Dar es Salaam leo, Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha hilo ,
Alex Msama alisema baada ya uzinduzi huo kufanyika Aprili 16 katika Uwanja wa
Uhuru, litahamia mikoa 10 ambayo itateuliwa na kamati ya maandalizi.

“Nichukue
fursa hii kuwatangazia wadau wa Tamasha la Pasaka na muziki wa injili kwa
ujumla wake kwamba, tamasha la Pasaka lipo kama kawaida na litaanzia jijini Dar
es Salaam April 16, kabla ya kwenda mikoani,” alisema Msama.

Kuhusu
uteuzi wa uwanja wa Uhuru, Msama alisema hiyo ni kutokana na uamuzi wa Kamati
ya maandalizi kuangalia vigezo mbalimbali yakiwamo maoni ya wadau wakubwa wa
muziki huo.

“Tunaamini
Uwanja wa Uhuru (zamani Taifa), ni mahali muafaka baada ya kujiridhisha kwa
vigezo vingi. Tunaamini hata wadau, wapenzi na mashabiki wa muziki wa injili
wataukubali,” alisema.

Juu ya
kukawia kwa maandalizi tofauti na miaka mingine, Msama alisema ni kusubiri mambo
mengine muhimu yakamilike, ikiwemo taratibu husika kwa mujibu sheria za nchi.

Msama ambaye
pia ni Mkurugenzi wa Msama Promotions Ltd, alisema mikakati ya Kamati yake ni
kuhakikisha tamasha la mwaka huu linakuwa bomba zaidi kwa kuongeza vionjo muhimu
tofauti na miaka mingine.

maudhui, Msama alisema mbali ya kuutukuza ufalme wa Mungu kwa njia ya nyimbo na
kutumia sehemu ya mapato kusaidia makundi maalumu kama yatima, wajane na
walemavu, pia litahimiza upendo na amani katika nchi.
maudhui, Msama alisema mbali ya kuutukuza ufalme wa Mungu kwa njia ya nyimbo na
kutumia sehemu ya mapato kusaidia makundi maalumu kama yatima, wajane na
walemavu, pia litahimiza upendo na amani katika nchi.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha Pasaka, Alex Msama, akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya tamasha
hilo litakalofanyika Aprili 16 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es
Salaam. (Picha na Francis Dande).
Mwenyekiti
wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha Pasaka, Alex Msama, akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya tamasha
hilo litakalofanyika Aprili 16 kwenye Uwanja wa Uhuru.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha Pasaka, Alex Msama, akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya tamasha
hilo litakalofanyika Aprili 16 kwenye Uwanja wa Uhuru.
SHARE
No comments:
Post a Comment