
Ofisa kilimo na Mratibu wa MIVARF Mkoa
wa Singida akimsikiliza mkulima wa Alizeti Mkoa wa Singida akipalilia
zao hilo, mkulima huyu amefuata ushauri wa kitaalamu wa kupanda kwa
mistari, kuweka mbolea na kutumia mbegu mpya ya record ambayo huzalisha
kwa wingi.
SHARE








No comments:
Post a Comment