Watu wapatao wanane walijeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa kupigwa
risasi kwenye shule moja katika mji wa Grasse uliopo Kusini mwa
Ufaransa. kwa mujibu wa taarifa ya polisi mwanafunzi mmoja aliyekuwa na
silaha mbalimbali amekamatwa. Mtuhumiwa wa pili bado anatafutwa.
Miongoni mwa waliojeruhiwa katika tukio hilo alikuwa mwalimu mkuu wa
shule. Polisi ya Ufaransa imeliambia shirika la habari la Reuters kuwa
ni mapema mno kubainisha iwapo tukio hilo lilikuwa la kigaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment