Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison George Mwakyembe
akisalimiana na Naibu wake Mhe. Anastazia Wambura wakati alipowasili
katika ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam mara
baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel.
SHARE
No comments:
Post a Comment