Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo
Dodoma. Leo asubuhi kabla ya kuanza kwa kipindi cha maswali na majibu
mbunge wa kuteuliwa Mama Salma Kikwete aliapishwa na kwenye kipindi cha
maswali na majibu alipata nafasi ya kuuliza swali lake la kwanza muda
mchache baada ya kula kiapo. Bonyeza play hapa chini kutazama
SHARE
No comments:
Post a Comment