Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt.
Augustine Mahiga akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani)
kuhusu mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa uliofanyika New
York, Marekani na kupitisha Azimio la kuongeza muda kwa vikosi vya
usalama vilivyopo DRC. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa
Kimataifa, Balozi Celestine Mushy. Baadhi ya waandishi wa habari
wakimsikiliza Mhe. Mahiga (hayupo pichani).
No comments:
Post a Comment