TRA

TRA

Tuesday, April 25, 2017

Umoja wa Mataifa washtushwa na mauaji ya maafisa wake DRC

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Umoja wa mataifa umelaani ukanda wa video ulioonyesha wachunguzi wawili wa Umoja huo wakiuwawa kinyama. 

Inadaiwa wachunguzi hao walitekwa nyara katika jimbo la kati la Kasai mnamo mwezi Machi na waasi wanaoipinga serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.


            Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres

Msemaji wa maswala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Ravina Shamdasani aliwaambia waandishi wa habari juu ya kuuwawa kwa maafisa hao wawili Michael Sharp na Zeida Catalan. 

Msemaji huyo ameitaka serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ifanye uchunguzi wa kina na kwamba waliotenda mauaji hayo wachukuliwe hatua za kisheria.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger